September 13, 2021

KIPA wa timu ya Rivers United ameweka wazi kuwa walifanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ulichezwa Uwanja wa Mkapa na timu hiyo kushinda kwa bao 1-0 na ameweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao wa marudiano wanahitaji kushinda kwa mara nyingine

Ameongeza kuwa Yanga wanaongea sana tena.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic