September 1, 2021

3 COMMENTS:

  1. Huyu mcheza filamu za ngono anajaribu kujipendekeza kimtindo kwa Simba akidhani kumsakama Haji Manara kutawafanya Simba wampe nafasi ya kuwa katika kitengo cha habari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unachosema ni kweli. Anaonyesha kufanana na dada k

      Delete
  2. Viongozi wa juu wa Simba wamemdharau Haji Manara na wala hawana mpango wa kujibizana nae wakijua kabisa kwamba kujibizana nae ni kumpa uwanja wa kuwa midomoni mwa watu kama yalivyo malengo yake lakini cha ajabu kuna watu kama akina Mwijaku ambao wanadhani kujibizana na Haji Manara kutawapa nafasi ya kupewa platform katika Simba kumbe wanaharibu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic