September 26, 2021

1 COMMENTS:

  1. Watu wasiwe wapumbavu kupitiliza mipaka.Yanga kushinda ngao ya Jamii watu na waandishi takataka wamelipuka kama vile Yanga kabeba ubingwa wa ligi kuu au kafika nusu fainali ya champion league .Mechi ya fainali Simba angeweza kufungwa hata na Gwambina. Ni mechi moja alieamka vibaya anaweza kuondoka na matokeo mabaya.Lakini sio tena Yanga na Wachezaji wao ni wazuri kihiivyooo zaidi ni fluku na Determination ya kujifuta machozi baada matokeo mabaya ya champion league kulipelekea Yanga kumaliza Nguvu zao zote kwenye mechi ya ngao ya jamii.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic