VIDEO:AUCHO:NIMEKUJA YANGA KWA AJILI YA USHINDANI
KHALID Aucho kiungo wa Yanga amesema kuwa ameibuka ndani ya Yanga kwa ajili ya kufanya ushindani na kushinda kwao Ngao ya Jamii ni furaha hivyo baada ya kazi kuisha wanapelekea nguvu kubwa kwenye ligi.







Watu wasiwe wapumbavu kupitiliza mipaka.Yanga kushinda ngao ya Jamii watu na waandishi takataka wamelipuka kama vile Yanga kabeba ubingwa wa ligi kuu au kafika nusu fainali ya champion league .Mechi ya fainali Simba angeweza kufungwa hata na Gwambina. Ni mechi moja alieamka vibaya anaweza kuondoka na matokeo mabaya.Lakini sio tena Yanga na Wachezaji wao ni wazuri kihiivyooo zaidi ni fluku na Determination ya kujifuta machozi baada matokeo mabaya ya champion league kulipelekea Yanga kumaliza Nguvu zao zote kwenye mechi ya ngao ya jamii.
ReplyDelete