September 8, 2021


UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ishu kubwa itakayowafanya wachezaji wao watatu kukosekana kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United Jumapili ni ishu ya vibali vyao ITC na sio makosa ya Yanga bali ni mvutano ambao ulikuwa kati ya timu zilizokuwa zinawamiliki wachezaji pamoja na uongozi wa Yanga.

 Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa suala hilo lilisababisha Caf kuweza kuzuia vibali vyao kwa kuwa walikuwa nje ya muda jambo ambalo limewafanya waweze kutuma malalamiko yao FIFA.

 

7 COMMENTS:

  1. Kama kawa utopolo wameanza kuvutana na CAF sasa wametinga tena FIFA. Kama hawakulipa timu husika walitegemea wapewe ITC kiurahisi? Na kama waliwasilisha majina hayo nje ya muda hoyo imekula kwao, wasubiri dirisha dogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama hili suala ni kweli Senzo wa Kazi gani ndani ya Yanga? Hili suala kama lingekuwa lipo kwenye mikono ya Barbara Basi msingesikia Ujinga huo yaani Uzembe kabisa.Yanga wataendelea kufeli tu kama watashindwa kuiheshimu Simba angalau kwa kuiga yale wanayoyafanya simba na kuwaweka pale walipo sasa.Utani uwe wa ndani ila linapokuja suala la kimataifa timu zetu zingekuwa zinashirikiana katika kupeana infos.

      Delete
  2. waende cas maana Simba na TFF wanawahujumu

    ReplyDelete
  3. Hawa wajinga si walikuwa na muda wa kuapply ITC

    ReplyDelete
  4. Wamebakia kulalamika imekuwa ada yao na sasa wamepata msukule eti tunakwenda FIFA?Yaani FIFA iingilie kanuni za CAF?Mngeomba kwa wakati mngepewa hayo ndiyo madhara ya kukurupuka.

    ReplyDelete
  5. Hawa viongozi wanapelekwa pelekwa ovyo waliweka nguvu za kumtambulisha manara baadala ya kuwa makini na mambo ya timu tunapotoshwa sana kwa faida ya watu wachache

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic