BAADA ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuna shida kidogo kwenye eneo la ushambuliaji huku akimtaja Mugalu, (Chris) kuwa alishindwa kufunga mabao jambo ambalo linawaumiza.
Kuhusu kiwango cha wachezaji wapya ameridhika.Kuhusu pengo la Luis Miquissone na Chama Clatous ambao wamesepa amesema kuwa kwa sasa watasema hasa kwa kuwa wametoka kupoteza.
Mugalu haeleweki, hata last year tulipo cheza kna AS Vita, Mugalu alionesha alama flani za makusudi kama hakuwa tayari kuipigania timu yake na badala yake kuibeba timu yake ya Nyumbani. Hata juzi siku ya Simba Day, Mugalu mbele ya TP Mazembe alionesha kugufahishwa na kukosa kwake goli la wazi. Mimi sielewi kwanini Kagerw mpambqnaji hapewi nafasi, kakosea wapi Kagere? Tuliendwlwa kumwamini mno Mugalu hakika tutavuna mabua. Huyo angeinhizqa kipindi cha pili wakati tayari tunakitu mkononi. Mzee Gomez, anamwamini Mugalu ajabu, Matoka saidia kumsomesha Mzee Gomez kabla mambo hayajawa mabovu.
Tangu lini Mugalu alifunga goli?Kazoea kutupotezea ushindi huyo.
ReplyDeleteMugalu atatupotezea malengo yetu fanya chochote MO
ReplyDeleteMugalu haeleweki, hata last year tulipo cheza kna AS Vita, Mugalu alionesha alama flani za makusudi kama hakuwa tayari kuipigania timu yake na badala yake kuibeba timu yake ya Nyumbani. Hata juzi siku ya Simba Day, Mugalu mbele ya TP Mazembe alionesha kugufahishwa na kukosa kwake goli la wazi. Mimi sielewi kwanini Kagerw mpambqnaji hapewi nafasi, kakosea wapi Kagere? Tuliendwlwa kumwamini mno Mugalu hakika tutavuna mabua. Huyo angeinhizqa kipindi cha pili wakati tayari tunakitu mkononi. Mzee Gomez, anamwamini Mugalu ajabu, Matoka saidia kumsomesha Mzee Gomez kabla mambo hayajawa mabovu.
ReplyDeleteSafari hii tulimwambia refa Manula akitoka langoni asimamishe mpira hadi atakaporudi. Hatutaki visingizio sisi
ReplyDelete