October 11, 2021

 BASI la Azam FC ndani ya ardhi ya Dar es Salaam wanaita Ndege ya Taifa ya ardhini, Mercedes Benz Irizar i6S Plus, kwa sasa ipo ndani ya jiji la Dar es Salaam.


Wakati ndinga hiyo ya Azam FC ikiwa njiani kuja jijini Dar es Salaam, ilipata bahati ya kukutana na shabiki mkubwa wa Azam FC na mfanyabiashara maarufu wa Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, Frederick Kyando.

4 COMMENTS:

  1. Kwenye mpira watu wanajivunia matokeo mazuri ya uwanjani zaidi ndio yanayokaa kwenye kumbukumbu.

    ReplyDelete
  2. Ndio tunapoambiwa Sisi watanzania kwa Kula kitu tupo nyuma ndio matokeo yake hayo kiundishi tupo nyuma kimaendeleo tupo nyuma sasa bus Lina umuhimu gani haswatunachotaka Ni maendeleo ya club Na Mpira kwa jumla tufike Mbali ikiwezekana tuchukue makombe ya ubingwa wa Bara la Africa Na tuuze wachezaji wetu wa nyumbani kwenye clubs kubwa za Europe ili tuwe Na team ya taifa Bora ofike Mbali kwenye competitions zote inayoshiriki,sio issues ziwe Mabus ya Azam,Yanga ,Simba Na upuuzi mwingine

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic