October 1, 2021


 KIKOSI cha Simba dhidi ya Dodoma Jiji kinachotarajiwa kuanza leo Oktoba Mosi kusaka pointi tatu muhimu. Miongoni mwa wachezaji ambao wameanza ni pamoja na mzawa Yusuph Mhilu ambaye ni ingizo jipya kutoka Kagera Sugar pia Taddeo Lwanga ambaye ni mkata umeme pia.

Alikosa mchezo uliopita dhidi ya Biashara United kwa kuwa alikuwa anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano.



3 COMMENTS:

  1. Kocha unamuwakaje Maestro Bwalya nje,virago vinakungoja,Simba hi hatufiki popote

    ReplyDelete
  2. Labda Bwalya ataingia kama Substitution kwa maana Dilunga na Muzamiru cyo wazuri kwenye kupeleka mashambulizi

    ReplyDelete
  3. Bwalya kwa viwanja vya mkoani ambavyo vingi siyo rafiki kimpira huwa vinampa shida Sana, ndo Mana labda atatokea benchi Kama substitution ......

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic