October 11, 2021

 


BONDIA wa Kimataifa kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo (26) mwenye uzani wa Super Welter amepanda kutoka nafasi ya 14 hadi nafasi ya 10 katika viwango vya ubora Duniani kwenye orodha ya mabondia wenye uzani huo.

 Mwakinyo sasa amekuwa wa 10 kati ya mabondia 1,532 duniani ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kumtwanga Bondia wa Kimatifa kutoka nchini Namibia, Julius Munyelele Indongo.



4 COMMENTS:

  1. Still there are some foolish having doubt on Hassan Mwakinyo Likwenangu.

    ReplyDelete
  2. Kongole kwako Hassan Mwakinyo

    ReplyDelete
  3. Big up Mwakinyo you are real proud of us!.

    ReplyDelete
  4. We proud of you chief Mwakinyo. Big up Sanaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic