VIDEO:COSMAS CHEKA ATAMBA KUPIGA MPINZANI WAKE,ATOA SHUKRANI
BONDIA Cosmas Cheka ameweka wazi kuwa anajua kile ambacho anakifanya na anawaheshimu wote ambao wanampa sapoti jambo ambalo linamfanya aweze kuwa na akili katika kazi ambayo anafanya kwa bondia ambaye atapambana naye ametamba kuwa atampiga.
0 COMMENTS:
Post a Comment