Nyota hao wanakuja kwa ajili ya maandalizi kwenye mchezo ujao dhidi ya Benin wanahitaji kupata ushindi ili kuweza kufuzu Kombe la Dunia. Wachezaji ambao waliripoti kambini na wamepewa mapumziko ni Erasto Nyoni, Shomari Kapombe na Bakari Mwamnyeto hawa wamepewa mapumziko kwa kuwa wanamaumivu huku Jonas Mkude akiwa na matatizo ya kifamilia.
Mkude bana
ReplyDelete