VIDEO:DULLA MBABE ABADILI JINA,KUPANDA ULINGONI TAREHE 9 DULLA Mbabe abadili jina baada ya kupigwa na Twaha kiduku kuzichapa tena na bondia Alex ambapo amesema kuwa tarehe 9 atafanya vizuri na kile ambacho Alex anakitafuta atakipata.
0 COMMENTS:
Post a Comment