October 2, 2021


BAADA ya kupata ushindi leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Geita Gold, Nasreddine Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa watafanyia kazi tatizo la safu ya ushambuliaji kwa kuwa leo licha ya kushinda bao 1-0 ilipaswa kufunga mabao mengi. 

 Aidha ameweka wazi kuwa kwa sasa ligi ipo mwanzo mabadiliko yatakuwa yanaonekana taratibu huku akiamini kwamba kambi ya Arusha itawafanya waweze kuwa imara zaidi kwa kuwa watakaa pamoja muda mrefu.

 

4 COMMENTS:

  1. Nyie ni gunia la misumari hambebeki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Makoro safari hii hakuna za kupenyeza, cha moto mtakuona

      Delete
  2. Yanga ndio ile ile ya akina Sarpong hawana lolote zaidi ya makandokando.

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nilitegemea kukiona kikosi cha makombe yote kilichoifunga Simba magoli milioni kama alivotamka msemaji kikiifunga Geita Gold inayokamata mkia makapu magoli

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic