FRED Felix Minziro, Kocha Msaidizi wa Geita Gold amesema kuwa kilichowafanya leo wakashindwa kupata ushindi mbele ya Yanga ni kukosa utulivu kwa wachezaji wake kwa kuwa walikuwa wanatengeneza nafasi ila wameshindwa kuzitumia.
Geita Gold ikiwa Uwanja wa Mkapa leo Oktoba 2 imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga na bao lilipachikwa na Jesus Moloko unakuwa ni mchezo wa pili kwa timu hiyo kupoteza kwa kuwa ule wa awali ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Namungo.
Geita Haina utofauti na Toto ya mwanza
ReplyDelete"Utopolo b"