VIDEO:MUONEKANO WA UWANJA WA UHURU,DAR
UWANJA wa Uhuru ni moja ya vile vyenye nyasi bandia kwa Tanzania ambapo ukarabati wake ulifanywa hivi karibuni ambapo ni timu nyingi zimekuwa zikipenda kuutumia ikiwa ni pamoja na KMC, DTB, African Lyon, Simba na Yanga pia kwa ajili ya mechi zao ama wakati mwingine huwa ni kwa ajili ya mazoezi na unahistoria kubwa Tanzania hapa ni muonekano wake ambapo upo karibu pia na ule Uwanja wa Mkapa.
0 COMMENTS:
Post a Comment