SHABIKI wa Simba kutoka Dodoma ameweka wazi kuwa watarudi Dar kwa ushindi mzuri mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba Mosi saa 10:00 jioni.
Pia ametoa rai kwa mashabiki wa Simba kuwa waendelee kuipenda timu yao licha ya kuanza vibaya itamaliza vizuri.
0 COMMENTS:
Post a Comment