MSHAMBULIAJI wa DTB Amiss Tambwe amesema kuwa ni furaha kubwa kuona timu hiyo inashinda huku akibainisha kwamba malengo yake ni kuona anafanya vizuri kwa kuwa Ligi Daraja la Kwanza.
Jana DTB ilishinda mabao 4-1 Uwanja wa Uhuru dhidi ya African Lyon na mabao yote manne ya DTB mfungaji alikuwa ni Tambwe.
0 COMMENTS:
Post a Comment