VIDEO:TAZAMA MAZOEZI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA,MANULA,METACHA FURAHA KAMA YOTE
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia ambapo Oktoba 7 inatarajiwa kucheza mchezo na timu ya taifa ya Benin, tazama namna walivyoanza mazoezi ikiwa ni pamoja na John Bocco, Kibu Dennis,Meshack Abraham, Aishi Manula na Metacha Mnata huku wote wakiwa na furaha kubwa Wale wanaokipiga nje wanatarajiwa kuungana na timu leo ambapo ni Mbwana Samatta pamoja na Simon Msuva.
0 COMMENTS:
Post a Comment