Chelsea (England)Vs Rubin Kazan (Russia)
Tottenham (England)Vs FC Basel (Swiss)
Fernabache (Uturuki) Vs Lazio (Italia)
Benfica (Ureno) Vs Newcastle (England)
Hatua ya Robo Fainali hatua ya makundi ya michuano ya Europa
ndiyo imemalizika kupangwa kama ilivyo hapo juu.
England ndiyo imeingiza timu nyingi zaidi, maana wana timu
tatu wakati nchi nyingine kila upande umefanikiwa kuingiza timu moja tu katika
hatua hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment