MAPENZI YA OKWI BILA YA MIPAKA
Bibi huyu ambaye jina lake halikufahamika mara moja ameelezwa kuwa na mapenzi makubwa sana na timu ya Etoile du Sahel aliyojiunga nayo Emmanuel Okwi.
Okwi amejiunga na timu akitokea Simba na bibi huyo pamoja na kwamba ni mlemavu, amekuwa akihudhuria mara nyingi zaidi mazoezi ya timu hiyo kuliko shabiki mwingine yoyote.
0 COMMENTS:
Post a Comment