Pambano la Ligi
Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya Chuoni FC dhidi ya Falcon FC kwenye Uwanja
Amaan mjini Zanzibar, jana.
Chuoni FC
walionyesha ujuzi kwa kuwachapa wababe Falcon kwa bao 1-0.
Patashika kati ya Chuoni na Falcon kuwania ushindi kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar, jana.
Walinzi
wa Chuoni ambao ni ndugu, Mwinyi Ngwali (kushoto) na Makame Ngwali (kulia)
wakimdhibiti vilivyo Aly Kalulu wa Falcon kutoleta madhara langoni kwao.
Mlinzi
wa timu ya Chuoni, Mwinyi Ngwali akimtoka Aly Kalulu wa Falcon (kulia).Saleh Ameir wa Falcon (kulia) akimchezea faulo Saleh Mohamed wa Chuoni FC.
PICHA: MARTIN KABEMBA
0 COMMENTS:
Post a Comment