Dakika chache zilizopita, ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali imekamilika kupangwa mjini Nyon, Swiss.
Wengi walikuwa wanasubiri kwa hamu kujua nani, atakutana na nani katika timu 8 zitakazopambana katika hatua hiyo.
*Barca kuwavaa PSG, Madrid wapewa kikosi cha Drogba
Málaga(ESP) Vs Dortmund(GER)
Real Madrid(ESP) Vs Galatasaray(TUR)
PSG (FRA) Vs Barcelona (ESP)
Bayern(GER) Vs Juventus (ITA)
0 COMMENTS:
Post a Comment