Ilikuwa mechi ya NSSF Cup, GPL dhidi ya Jamboleo...huyu jamaa, anaitwa Saleh Ally aliwekewa ulinzi mkali sana, lakini ndiye alipiga mashuti mengi makali yaliyompa kipa wakati mgumu. Nidye aliyewachanganya mabeki na viungo kwa chenga za maudhi na pasi za uhakika...lakini taarifa zinaeleza hakulala usiku kwa maumivu....hata leo kazini alikuwa anashindwa kutembea vizuri...watu wakamshauri eti anajua lakini vizuri kasi ya Messi na Ronaldo awaachie wenyewe....eeeh!
Home
»
»Unlabelled
» MSHAMBULIAJI MNENE NA HATARI ZAIDI, ANAYEWEKEWA ULINZI MKALI ZAIDI
March 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 COMMENTS:
Post a Comment