April 8, 2013





Inawezekana mshambuliaji mpya wa AC Milan, Mario Balotelli amerejea Italia ambako kuna kisima cha watukutu.

Juzi, mshambuliaji wa Mirko Vucinic wa Juventus ya Italia alivua bukta mara baada ya kufunga mkwaju wa penalti katika mechi ya Seria A dhidi ya Pascara.


Bila ya aibu, Vucinic raia wa Montenegro alishindwa kujizuia kwa furaha wala hakuona aibu baada ya kuvua mbele ya watazamaji 40,000.

Baadaye kocha Antonio Conte alimtoa mshambuliaji huyo aliyelambwa kadi ya njano kutokana na kuvua nguo hizo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic