Chelsea itamkosa mshambuliaji wake Eden Hazard baada
ya kuumia katika mazoezi leo jioni.
Chelsea tayari iko mjini Amsterdarm kwa ajili ya
fainali ya Europa League dhidi ya Benfica ya Ureno.
Hazard ameumia nyama za paja ambazo zinamlazimu
kuukosa mchezo wa kesho Jumatano ambalo litakuwa pengo kwa Chelsea.
0 COMMENTS:
Post a Comment