Man
City imeanza ligi na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Newcastle huku kiungo Yaya
Toure akifunga bao la faulo linalo fanana na lile alilomfunga kipa Juma Kaseja
wakati Taifa Stars ilipoivaa Ivory Coast kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar,
kuwania kucheza Kombe la Dunia.
Katika
mechi ya leo, mabao mengine ya City yalifungwa na Aguero, Silva na Nasri wakati
mwamuzi akakataa bao na Nagredo ambalo ilionekana hakuwa ameotea.
Beki
mkongwe wa Newcastle, Taylor alilambwa kadi nyekundu baada ya kumzaba Aguero
wakati wakiwania mpira.
Man
City: Hart, Zabaleta, Kompany (Garcia 71), Lescott, Clichy, Fernandinho,
Toure, Jesus Navas, Aguero (Nasri 61), Silva (Negredo 80), Dzeko.
Subs: Milner, Kolarov, Rodwell, Pantilimon.
Booked: Dzeko, Fernandinho.
Goals: Silva 6, Aguero 22, Toure 50, Nasri 75.
Subs: Milner, Kolarov, Rodwell, Pantilimon.
Booked: Dzeko, Fernandinho.
Goals: Silva 6, Aguero 22, Toure 50, Nasri 75.
Newcastle: Krul, Debuchy,
Coloccini, Steven Taylor, Yanga-Mbiwa, Sissoko, Tiote, Gouffran (Dummett 45+4),
Ben Arfa (Sammy Ameobi 65), Gutierrez (Anita 44), Cisse.
Subs: Elliot, Marveaux, Shola Ameobi, Obertan.
Booked: Yanga-Mbiwa, Sissoko, Debuchy.
Sent off: Taylor.
Subs: Elliot, Marveaux, Shola Ameobi, Obertan.
Booked: Yanga-Mbiwa, Sissoko, Debuchy.
Sent off: Taylor.
0 COMMENTS:
Post a Comment