Picha hizi zinaonyesha namna Mrisho
Ngassa alivyokuwa anajiandaa kabla ya kuwavaa Yanga katika Mei 18 kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar.
Hapa alikuwa Simba, lakini leo atakuwa
Yanga na atanyoosha misuli tayari kuivaa Simba ambayo aliichezea msimu uliopita
akitokea Azam FC kwa mkopo.
Mechi hiyo ya msimu uliopita ilikuwa ya
mwisho kwake Simba na hii ni ya kwanza kwake dhidi ya Simba msimu huu.
0 COMMENTS:
Post a Comment