November 25, 2013





Simba wameanza juhudi ya kulikomboa basi lao linaloshikiliwa na kampuni ya MEM Auction.


Simba ilikuwa inadaiwa Sh milioni 42 lakini ikalipa Sh milioni 22, hivyo bado inadaiwa Sh milioni nane.

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amethibitisha kukamtwa kwa basi lao na amesema wameanza juhudi za kulikomboa.
“Kweli limekamatwa na tunaendelea kulifanyia kazi ili kulikomboa,” alisema.

Basi hilo Simba walipewa na wadhamini wao Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia udhamini wake wa Bia ya Kilimanjaro.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic