Sekta ya
mawasiliano ya simu Tanzania na Afrika Mashariki leo imepata matumaini mapya
kufuatia kuingia kwa kampuni mpya ya simu ya kipekee, ya ubunifu, yenye kwa
jamii, na yenye ushindani kuliko zote, kuzinduliwa bila jina.
Pamoja na ahadi yake ya kuongeza idadi ya watumiaji wa
mawasiliano ya mtandao wa simu, kampuni hiyo mpya kwa wakati mmoja imezindua
pia kampeni ya kiubunifu inayotambulika kwa jina la “Tupe Jina” itakayofanyika
kwa njia ya mtandao na ujumbe mfupi katika simu kwa lengo la kuipa fursa Afrika
Mashariki kuichagulia jina bora kampuni hii kwa kupiga kura.
Hii ni kampuni ya kwanza ya simu Afrika Mashariki ambayo kweli
inajali na haigopi kuamini watu, na hakuna kampuni nyingine inaweza kuthubutu
kufanya hivyo. Hakuna kampuni yoyote duniani iliyoweza kuzinduliwa bila jina na
kutoa jukwaa kwa kampeni ya kusisimua ya siku 10 kabla ya jina kuwekwa
hadharani.
“Tupe Jina” ni kampeni itakayoanza Novemba 25, 2013 hadi 4 Desemba 2013
kwa awamu mbili katika mtandao, ujumbe wa simu na mtandao wa kijamii wa
facebook. Katika awamu ya kwanza, Afrika Mashariki inapaswa kuteua majina
ambayo wanapenda hii kampuni mpya iitwe.
Mshirki anaweza kuchagua jina kwa kuingia katika mtandao wa
Unaweza kuteua jina kwa njia ya magogo kwenye mtandao wawww.giveusaname.net au kutuma ujumbe wa simu ukiambatanishwa na jina analopendekeza
kwenda namba 15678 au aingie katika mtandao wa www.facebook.com/giveusaname. Katika awamu ya pili ya kampeni, jopo litatathmini majina yote
na itatoa majina matano ambayo yamependekezwa mara nyingi zaidi, ya kipekee na
yenye ubunifu.
Baada ya hapo Afrika Mashariki watapiga kura kwa ajili ya
kupata jina bora moja ambalo hatimaye litakuwa jina la kwanza la kampuni hii ya
mawasiliano ya simu ambayo daima itakuwa ya kwanza ya Kiafrika Mashariki.
Mshindi katika kampeni hii, mtu ambaye atakuwa amechagua jina ambalo hatimaye
litakuwa la kampuni atajishindia muda wa bure wa kupiga simu za ndani na SMS
bure kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Zawadi zingine zitakuwa simu za kisasa za ‘smartphone’ na
kompyuta za kiganjani (tablets) kwa washiriki wa kampeni hii ya “Tupe Jina”.
Kwa muitikio wa Afrika mpya, balozi wa jina hilo ambaye ni mchekeshaji Bw Hemedi Khalida “Mkwere”
atasherehekewa, ambaye amesimama katika mstari wake kwa kipindi cha television
cha “Mizengwe” ambacho kinapata kasi kila siku.
Kutokana na wataalam kutabiri kuongezeka kwa pato la taifa la
Tanzania kutoka asilimia 4 hivi sasa hadi asilimia 7 mwaka 2015, sekta ya
mawasiliano ina nafasi kubwa ya katika ukuaji wa uchumi katika miaka ijayo na
kampuni hii mpya ya mawasiliano ya inawakilisha sura ya kasi hii kubwa ya
ukuaji.
Tanzania inabaki kuwa ni moja ya nchi zenye kiwango cha kuingiza
simu chini ya asilimia 50 kufikia Juni 2013, jumla ya matumizi ya mawasiliano
ya simu nchini humo ni chini ya wastani kwa nchi za Afrika.
Hii kampuni mpya ya simu kwa umuhimu mkubwa itawekeza kiasi
kikubwa cha fedha kutoka kwa wateja wake kwa ajili ya maendeleo ya muda mrefu
kwa watu wa Uganda katika sekta ya afya na hasa katika tiba za kimtandao na
vituo vya elimu ya masafa.
Hii tafsiri yake ni kwamba kuwekeza idadi kubwa ya faida katika
kuwezesha Afrika Mpya kuzingatia ongezeko la watumiaji wa mawasiliano ya
simu, na zawadi bora ambayo kampuni hii inatarajia katika miaka ijayo ni kukuza
sekta ya afya.
Kampeni ya “Tupe Jina” itaisha Desemba 4 baada hapo wananchi wa
Tanzania watapata nafasi ya kupeleka namba zao wanazopendekeza kabla ya
kutangazwa na kuwekwa hadharani kwa jina la kampuni.
-Mwisho-
Muhimu kwa
wahariri:
Kuhusu kampuni mpya ya simu
Ni mpya ya mawasiliano ya simu ambayo haijawahi kutokea
kabla. Huduma na bidhaa zake ni nzuri kuliko kampuni zilizopo sasa. Ni tofauti
na kampuni zingine kwa sababu yenyewe hujali na haigopi kuamini watu.
Kampuni mama kwa kampuni hii mpya imekuwepo Uganda kwa
miaka zaidi ya 100. Kampuni mama imewekeza katika shule, vyuo, katika majukwaa
ya biashara, vyombo vya habari, mabenki, maeneo ya uzalishaji umeme, safari za
ndege, hoteli, na mengine mengi.
Kampuni hii mpya ya simu inaangalia katika kuendeleza
Afrika kwa baadaye. Kuifanya Afrika yenye ubunifu, umoja, matumaini, kujali na
usanii. Kuifanya Afrika isiyokuwa ya kuitaji misaada ila kwa uwekezaji.
Kwa kuwa inaenda kuwa kampuni ya nchini Tanzania, ni haki
kwa watu wa Tanzania wakatoa jina kwa kampuni hii. Jina ambalo litawakilisha
urithi wanchi, uasili, na itakayolenga Afrika Mashariki na kuboresha maisha ya
watu.
Jina ambalo litaelezea kuwa kampuni itakuwa kwa ajili ya
watu. Kampuni pia ni mabadiliko, yenye matumaini, yenye kuendeshwa kwa vipaji.
Ambacho unaweza kufanya ni kututumia ujumbe wa kutueleza
ni namna gani unataka kutuita kupitia namba 15678 , pia unaweza kushiriki
kwa kuingia kwenye mtandao wa www.facebook.com/giveusaname au katika mtandao wetu wawww.giveusaname.net kwa kuchagua jina na kupiga kura.
0 COMMENTS:
Post a Comment