NGASSA AKISALIMIANA NA MMOJA WA WANACHAMA MAARUFU WA YANGA, KAISI MARA BAADA YA KUFIKA MAZOEZINI HAPO LEO NA AKAISHIA KUSHUHUDIA TU WENZAKE WAKIKIPIGA |
Mshambuliaji
Mrisho Ngassa ameshindwa tena kufanya mazoezi.
Ngassa
ameonekana katika mazoezi ya Yanga leo akiwa na mavazi ya kawaida na si yale ya
mazoezi.
Wakati
wenzake wakiendelea na mazoezi, Ngassa alikuwa amekaa akishuhudia mazoezi hayo
kwenye Uwanja wa Bora jijiniDar.
Awali ilielezwa
Ngassa ni mgonjwa, lakini wachezaji wengi ambao hawakutokea mazoezini ni wale wageni
ambao ni Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza (Waganda), Mbuyu Twite (Rwanda).
0 COMMENTS:
Post a Comment