Simba
imetua salama mjini Zanzibar tayari kwa ajili ya michuano ya Kombe la
Mapinduzi.
Kaimu Kocha
Mkuu wa Simba, Selemani Matola amesema kikosi chake kimetua salama.
“Kila kitu
safi na tayari tuko hotelini, wote wako salama na tunashukuru.
“Kikubwa
tunasubiri mchezo wa kesho ambao tunataka kushinda lakini tunajua hautakuwa
lahisi,” alisema.
Simba
inafungua michuano ya Mapinduzi ambayo hupigwa mwishoni au mwanzoni mwa kila
mwaka.
0 COMMENTS:
Post a Comment