Na Saleh Ally, Alexandria
Yanga imefanya mazoezi ya mwisho
kabla ya kuivaa Al Ahly leo kwenye Uwanja wa Max jijini hapa.
Mazoezi yamefanyika kwenye Uwanja
wa Max jijini hapa. Mazoezi hayo yalifanyika usiku.
Yalikuwa mazoezi mepesi na Kocha,
Hans van Pluijm alisema ni kwa ajili ya kuupima uwanja.
0 COMMENTS:
Post a Comment