Yanga walijichimbia hapa mara baada ya kukataa
hoteli na basi la al Ahly.
Hii sehemu iko ufukweni mwa mto Nile na
pamejificha, pia kuna ulinzi, si lahisi asiye muhusika kuingia.
Leo wamepaacha, wameondoka kwenda
Alexandria kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Al Ahly.
0 COMMENTS:
Post a Comment