March 8, 2014


Kocha Mkuu wa Al Ahly, Mohamed Youssef amechagua kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya kuivaa Yanga.


Tayari kikosi hicho kimetua jijini hapa kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Maxi, jijini hapa.
Mechi hiyo iliyohamishiwa kutoka Cairo kuja hapa, haitakuwa na mashabiki ili kuepuka vurugu.

Kikosi hicho kitashuka uwanjani bila ya mkali Emad Motaeb ambaye alikosa hata mechi ya jijini Dar es Salaam ambayo Al Ahly walilala kwa bao 1-0.

Kikosi hicho na majina yao;
 Sharif Ikrami , Ahmed Adel, Mosad Awed, Wael Gomaa ,  Mohamed Naguib , Saad El Din Samir , Ahmed Nabil Manga , Rami Rabia , Ahmed Fathi , Sherif Abd El-Fadil ,  Ahmed Shedid , Sayed Moawed ,  Sabri Raheel , Shehab El-Din Ahmed ,  Hossam Ashour ,  Mahmoud Hassan Trezeguet  , Ahmed Shokry , Abd Allah Saeed,  Musa Yedan , Mohammed Nagy Gedo ,  Amr Gamal ,  Ahmed Raouf and Sayed  Hamdy

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic