March 13, 2014



Uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Yusuf Manji umevunja kamati ya Uchaguzi iliyokuwa na wajumbe wafuata;

1.   Jaji Mkwawa
2.   Ridhwani Kikwete
3.   Francis Kaswahili
4.   Yusuf Mzimba
5.   Phillemon Ntahilaja
Baada ya kuivunja kamati hiyo iliyofanya kazi yake katika uchaguzi uliopita, uongozi wa Yanga umetangaza kamati mpya ya uchaguzi yenye wajumbe wafuatao.
1.   Alex Mngongolwa-Mwenyekiti
2.   Jabir Katundu
3.   Bakili Makele
4.   Daniel Mlelwa
5.   Mustapha Kajole
Uongozi huo wa Yanga chini ya Mwenyekiti Manji, umewapongeza wajumbe wa kamati ya awali na kuwatakia kila la kheri walioteuliwa katika kamati mpya.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic