March 11, 2014


Yanga wameanza safari ya kwenda ya kurejea nyumbani, sasa hivi wako njiani kuelekea uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo.


Safari itaanza saa tano na nusu usiku na kikosi hicho kitatua jijini Dar es Salaam, saa 12 asubuhi.
Yanga imecheza mechi yake ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kutolewa na Al Ahly kwa mikwaju 4-3 ya penalti.

Mechi hiyo ilipigwa jijini Alexandria Jumapili iliyopita, Yanga ilifungwa bao 1-0 katika dakika 90 na kupata jibu la sare na baada ya hapo ikaamuliwa mikwaju ya penalti.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic