Sir Alex Ferguson ni kati ya waliopitisha uamuzi wa kumtimua kocha
David Moyes licha ya kwamba ndiye aliyemchagua apewe nafasi ya kuifunsisha Manchester
United.
Imeelezwa Ferguson alishiriki kwenye kikao hicho kilichofanyika
kwenye hoteli moja jijini Manchester.
Baada ya kikao hicho cha mwisho na Ferguson, ndiyo uamuzi wa
mwisho kwamba Moyes atimuliwe.
Kikao hicho kilimjumuisha Ferguson na Bosi wa Man United, Ed
Woodward saa 1:40 na baada ya hapo Moyes akapigwa panga.
0 COMMENTS:
Post a Comment