May 28, 2014




Joseph Itang’are maarufu kama mzee Kinesi amejitoa kuwania kugombea nafasi ya makamu rais wa klabu ya Simba.

Mzee Kinesi aliyewahi kuwa makamu mwenyekiti wa Simba ameamua kujitoa kuwania nafasi hiyo.
Mzee Kinesi amesema ameamua kutoa ili kuendelea na masuala mengi yanayomkabili ya kifamilia na biashara zake.
Kutokana na kujitoa kwa mzee Kinesi, maana yake nafasi hiyo itabaki kuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Geofrey Nyange ‘Kaburu’ dhidi ya Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ ambao ni mahasimu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic