Kocha Mkuu wa Brazil, Luis Felipe Scolari leo
ametangaza kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia na Brazil ndiyo wenyeji.
Scolari ametangaza kikosi hicho hukua akiacha
lundo la wachezaji nyota wakiwemo Kaka na Robinho wa AC Milan na Lucas wa
Liverpool.
Lakini katika kikosi hicho cha wachezaji 23
wanaokipiga sehemu mbalimbali duniani, Scolari amechukua sita wanaokipiga
katika Ligi Kuu England.
KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Julio Cesar (Toronto FC, on loan from QPR), Jefferson (Botafogo),
Victor (Atletico Mineiro)
MABEKI: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago
Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli),
Maxwell (PSG).
VIUNGO: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho
(Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan).
WASHAMBULIAJIA: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense),
Hulk (Zenit St Petersburg), Jo (Atletico Mineiro).
0 COMMENTS:
Post a Comment