Beki nyota wa Real Madrid amesema
hatamchagulia mwanaye Sergio Ramos Junior nini cha kufanya.
Ramos ambaye amekuwa baba kwa mara ya
kwanza baada ya mpenzi wake kujifungua kwa mara ya kwanza, amesema mwanaye
atakuwa huru kuchagua naye na mama yake watakuwa washauri.
“Ni suala la kusubiri, lakini ikifikia
suala la kufanya atakuwa huru.
“Achague anataka kufanya nini na sisi
tutamsaidia kipi ni sahihi au la kama washauri,” alisema.
Ramos alionekana ni mwenye furaha kuu
baada ya Pilar Rbio kujifungua salama.
so nice wazazi wema kabisa
ReplyDelete