June 27, 2014


COUTINHO AKISINDIKIZWA NA KIZUGUTO NA WANACHAMA NA MASHABIKI WA YANGA WALIOJITOKEZA KUMPOKEA LEO KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR, LEO.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Ferreira Coutinho raia wa Brazil, ametua salama jijini Dar es Salaam.
Coutinho alikuwa atue jana akiwa na Kocha Marcio maximo na msaidizi wake, lakini akakwama jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Lakini leo ametua salama na kupokewa na Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto.
Coutinho ataungana na Maxim oleo na Jumatatu wote wanaweza kuanza kazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic