June 28, 2014

TABAREZ


Kocha Mkuu wa Uruguay, Oscar Tabarez amejiondoa kwenye kamati ya ufundi ya Fifa aliyokuwa mjumbe, kisa mshambuliaji wake Luis Suarez.
Tabarez amejiondoa ikiwa ni sehemu ya kupinga adhabu ya Fifa kwa mshambuliaji huyo huku akitupa lawama kwa Italia na England.
Amesema vyombo vya habari ya England na Italia vimelishilia suala la Suarez kama kampeni ili kuhakikisha anaumizwa.
Lakini yeye amesisitiza kuwa Suarez anasapoti kupwa kutoka kwa mashabiki na wananchi wote wa Uruguay.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic