June 28, 2014



Kocha David Moyes amepewa ofa ya pauni milioni 4 kwa mwaka kuinoa Galatasaray ya Uturuki.
Iwapo atakubali maana yake atachukua nafasi ya Reberto Mancini aliyewahi kuinoa Manchester City na kuipa ubingwa wa England.


Tayari Moyes ametua Istambul kumalizia mazungumzo kabla ya kusaini mkataba wa kuinoa timu hiyo kubwa zaidi nchini Uturuki.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic