June 30, 2014



Mcheza kikapu maarufu duniani LeBron James wa Miami Heat amewashangaza wengi baada ya kuweka post kwenye wall yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter akionyesha kufurahishwa na kazi ya James Rodriguez wa Colombia.


Kinda huyo alifunga bonge la bao katika mechi ya Kombe la Dunia haua ya 16 Bora dhidi ya Uruguay.

Bao hilo limekuwa gumzo, lakini wakati LeBron akimsapoti wajina wake huyo na kusema ndiye mchezaji wake namba moja kwenye Kombe la Dunia, Mcolombia huyo pia amekuwa akifutiwa na mchezaji kikapu huyo.
Picha nyingine imemuonyesha mshambuliaji huyo akiwa amevaa jezi ya Miami Heat yenye namna 6 ambayo huvaliwa na LeBron.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic