June 26, 2014


 Rais wa Marekani, Barack Obama ameshuhudia mechi ya Kombe la Dunia kundi H kati ya Marekani na Ghana akiwa kwenye dege lake maarufu kama Air Force One.



Ujerumani imeishinda Marekani kwa bao 1-0, lakini bado imefanikiwa kufuzu katika hatua ya 16 Bora na kuziacha Ghana na Ureno zikirudi nyumbani.
Obama alikuwa safarini akitokea Maryland kwenda Minnesota wakati mechi hiyo ilipokuwa inapigwa, hivyo akataka kuishuhudia ili kuiunga mkono Marekani ambayo ililala.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic