June 26, 2014



Kutokana na kitendo chake cha kuuma wachezaji watatu tofauti, Luis Suarez amekamilisha mechi 39 atakazokosa.


Ingawa Uruguay imesema itakata rufaa kutokana na adhabu yake ya kusimamishwa miezi minne na kukosa mechi tisa za kimataifa, Suarez ameweka rekodi ya kukosa mechi hizo 39 ambazo ni sawa na msimu mzima.
Pamoja na hivyo, wadhamini wake kampuni ya vifaa ya Adidas imesimamisha mkataba wake na mshambuliaji huyo na kutaka mazungumzo yafanyike.

MECHI 39 ALIZOKOSA SUAREZ KUTOKANA NA KUUMA WATU WATATU
Ajax – 7
 Alimuuma mchezaji wa PSV, Otman Bakkal
(Ajax score first)
Nov 28, 2010: VVV Venlo (a) 2-0
Dec 4, 2010: NEC Nijmegen (h) 1-1
Dec 12, 2010: Vitesse Arnhem (a) 1-0
Jan 19, 2010: Feyenoord (h) 2-0
Jan 23, 2011: FC Utrecht (a) 0-3
Jan 30, 2011: NAC Breda (a) 3-0
4 Feb, 2011: De Graafschap (h) 2-0.

Liverpool – 10
Alimuuma Branislav Ivanovic wa Chelsea
(Liverpool score first)
Apr 27, 2013: Newcastle (a) 6-0
May 5, 2013: Everton (h) 0-0
May 12, 2013: Fulham (a) 3-1
May 19, 2013: QPR (h) 1-0
Aug 17, 2013: Stoke (h) 1-0
Aug 24, 2013: Aston Villa (a) 1-0
Aug 27, 2013: Notts County (h) 4-2 – League Cup
Sep 1, 2013: Man Utd (h) 1-0
Sep 16, 2013: Swansea (a) 2-2
Sep 21, 2013: Southampton (h) 0-1

SASA ATAKOSA ZIFUATAZO:
Amemuuma Giorgio Chiellini wa Italia
Liverpool – Four months (13 matches) for bite on Italy’s Giorgio Chiellini
Aug 16: Liverpool v Southampton
Aug 23: Manchester City v Liverpool
Aug 30: Tottenham Hotspur v Liverpool
Sep 13: Liverpool v Aston Villa
Sep 16: Champions League matchday 1
Sep 20: West Ham United v Liverpool
Sep 23: Capital One Cup Third Round
Sep 27: Liverpool v Everton
Sep 30: Champions League matchday 2
Oct 4: Liverpool v West Bromwich Albion
Oct 18: Queens Park Rangers v Liverpool
Oct 21: Champions League matchday 3
Oct 25: Liverpool v Hull City

Uruguay
PIA ATAKOSA MECHI NYINGINE TISA ZA KIMATAIFA ZA URUGUAY

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic