July 17, 2014



Wachezaji wa kikosi cha timu ya taifa ya Argentina maarufu kama Albiceleste wametoa pauni 80,000 (Sh milioni 200) Hospital Garrahan inayotibu magonjwa ya kansa.

Wachezaji wamekubali kufanya hivyo baada ya wazo lililotolewa na Javier Mascherano ambaye alipendekeza kiasi cha pauni milioni 14.6 walizopata kwa kuwa washindi wa pili zigawiwe kwa hospitali hiyo.
Kabla yao, Mesut Ozil wa Ujerumani, alitoa pauni 240,000 (Sh milioni 600) alizozipata kama bonus kwa watoto wenye shida wa Brazil.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic