July 10, 2014



Marcos Maidana sasa amepata alichokuwa anakitaka, nafasi ya kurudiana na bondia ambaye hajawahi kupigwa hata mara moja, Floyd Mayweather Jr.
Mayweather amekubali kurudiana na Maidana aliyempa wakati mgumu katika pambano lao miezi michache iliyopita.
Sasa pambano la marudiano la mabondia hao wa uzito wa welterweights litapigwa September 13, mwaka huu.
Pambano hilo litapigwa palepale ndani ya Ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic