July 10, 2014



Chelsea imeanza mipango ya chinichini kumrejesha Stamford Bridge mshambuliaji wake zamani, Didier Drogba raia wa Ivory Coast. Mshambuliaji huyo yuko Galatasaray ya Uturuki.
Chelsea inaendelea na mpango huyo kumpata Drogba mwenye miaka 36 na Jose Mourinho ambaye ana uhusiano naye mzuri anaamini atasaidia kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji.
Lakini Juventus ambao ni mabingwa wa Italia, pia wameonyesha nia ya kumsajili sambamba na klabu kadhaa za Qatar.
Hata hivyo, bado haijawa wazi Chelsea wamefikia hatua gani katika nia ya kumnasa Drogba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic