July 3, 2014



Real Madrid imefanikiwa kumnasa kiungo nyota wa Bayern Munich na Ujerumani, Toni Kroos.
Kroos alikuwa akiwaniwa kwa udi na uvumba na vigogo wa England, Manchester United ambao msimu uliopita walipoteza mwelekeo.
Tayari kuna taarifa Real Madrid wamemalizana naye na SALEHJEMBE inaendelea kufuatilia ili kupata uhakika kupitia rafiki ambaye ni mfanyakazi ndani ya klabu hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic